PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILI(102)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Shamim na Abdul waliambaa ambaa na ile boti mpaka wakafika ufukweni na kushuka kisha wakaanza kuambaa ambaa na miti michache iliyokuwa kwenye kisiwa kile "Take the left side ili likitokea tatizo uweze kunisaidia"akasema Shamim Abdul alitkisa kichwa kama ishara ya kukubaliana naye kisha akaelekea upande ule wa pili na kumwacha Shamim akielekea upande mwingine Upande wa Shamim alifika sehemu ambayo alianza kuyaona majengo yaliyokuwa kwenye kisiwa kile na alipoyaona akaanza kutambalia tumbo taratibu akielekea upande ule
Alifika sehemu akatulia na kutoa kiona mbali au darubini na kuanza kuangalia sehemu mbalimbali za jengo lile Alishangaa kuona askari wengi wakiwa wamevaa magwanda ya kijeshi wakiwa wanalizunguka eneo lile na kulilinda "Ina maana hawa watu wamejizatiti kiwango hiki?"alijiuliza kimya kimya UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.