PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA NA MOJA(101)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Kwani mnawatapeli vip hao mazoba na ni mzigo gan?"akauliza kimtego huku akimtekenya tekenya kijanja Alex "Wale waarabu wanauza silaha kwa Wasomali na wale Wasomali wanawapa madawa ila mimi sihusiki na wananitumia kama masterplan wao na hata mchongo wa sasa nimeupanga mwenyewe mpaka kuwaingiza mkenge wale mazoba"akajibu "Kwa hiyo huo mzigo mnao nyie? Na umekuingizia sana pesa?"akauliza tena
"Kiasi flani umeniingizia pesa ndefu mpaka nafikiria kuachana nao wale waarabu na huo mzigo ni mkubwa sana nasikia wale waarabu wanakalibia kuupiga bei kwa wamexico flan"akajibu bila kujua Shamim au Lily akainama na kumbusu sikioni kisha akapeleka ulimi wake mdomoni mwa Alex Alex akapewa bonge la denda na kujikuta akisisimkwa mwili mzima
"Watawauzia Wamexico? Na biashara itafanyikia wapi?"
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.