MTOTO LUQMAN ALMTOTO LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKELY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.
Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa  RB .NO MAT/RB/618/16.
Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige

NAMBAYA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN.
Post a Comment
Powered by Blogger.