MAHOJIANO NA CHEF ISSA KAPANDE TOKA SWEDEN

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Chef Issa na ma-Chef wa timu ya Stockholm, Sweden, waliposhiriki na kushika nafasi ya  kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi yajulikanayo kama Boch Culinary World Cup 2014 yaliyofanyika nchini Luxemborg.

Chef Issa Kapande ni mpishi maarufu na mmiliki wa mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania nchini Sweden, unaojulikana kama  Tanzania Restaurant.

Alikuwa mkarimu sana kujiunga na Mubelwa Bandio kuzungumzia safari yake katika fani ya upishi na mpaka alipofikia. Karibu ujiunge nasi kusikiliza 

Post a Comment
Powered by Blogger.