DKT SALIM ATUNUKIWA NISHANI YA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CUBA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akimvisha nishani Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim kutokana na kutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam . (Picha na Francis Dande)
Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim hapo jana kabla ya kuvishwa nishani ya kuutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Post a Comment
Powered by Blogger.