MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: MBUNGE WA UKONGA, MWITA WAITARA (CHADEMA) ASHINDA KESI YA UCHAGUZI


Pamoja Blog 6/15/2016 12:51:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa ccm Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.  

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments