YALIYOJIRI KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA 10 MEI, 2016

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akisoma taarifa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa leo 10 Mei, 2016, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) pamoja na Katibu Mkuu, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima wakiwa katika mazungumzo Bungeni mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa vikao vya asubuhi vya bunge hilo 10 Mei, 2016.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Katibu Mkuu, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima Bungeni mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa vikao vya asubuhi vya bunge hilo 10 Mei, 2016. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO, DODOMA.
Post a Comment
Powered by Blogger.