VIDEO: FAMILIA YA WATU WANNE YAUAWA KWA MOTO WA PETROLI WAKIWA WAMELALA NDANI

Familia nzima ya watu wanne wamepoteza maisha baada ya mtu au kikundi cha watu wasiofahamika kuwafanyia unyama na ukatili kwa kumwagia Petroli nyumba yao wakiwa wamelala majira ya usiku katika eneo la Kiwalani jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu hao.
Post a Comment
Powered by Blogger.