PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI(80)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Askari wale walipofika kwenye ile nyumba waliizingira yote ndipo kiongozi wao akaanza kutoa tangazo la kujisalimisha kwa yule mzee Wakati yule mzee anafungua mlango wa nyuma ya nyumba ili atoloke hakujua nyumba nzima ilikuwa imezingirwa Alipotokeza nje tu akakutana na midomo mitatu ya bunduki ikimwangalia
"Tulia hivyo hivyo ukifanya kinyume na hapo mwili wako halali yetu"alisema mmoja wa wale askari Mzee hakuwa na ujanja tena ikabidi anyooshe mikono yake na wale askari wakamtia pingu mikononi Walimchukua mpaka upande wa mbele wa nyumba walipokuwa askari wengine "Huyu si ni mme wa huyu dada anayeishi hapa?"akauliza yule mkuu wa kituo "Ndiyo na tunashangaa nini kinaendelea hapa?"UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.