MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA(81)


Pamoja Blog 5/30/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Sijakwelewa shoga amebaka na kuua kivip?"akauliza shoga yake na bi mkubwa "Bwana ee naona tunazungushana tu hapa cha msingi we jiandae nakuja twende kwa mganga wako feki huyo"akasema bi mkubwa na kukata simu Alitoka na kupanda gari bila kujiandaa na kuliondoa speed mpaka kwa shoga yake "Panda fasta sina muda wa kupoteza"alifoka
Kwa jinsi alivyokuwa ilikuwa vigumu kwa shoga yake kumuhoji chochote hivyo akaingia ndani ya gari na safari kwenda kwa manyaunyau ikaanza Walipofika waliwakuta baadhi ya wagonjwa na wanaohitaji huduma wakiwa kwenye foleni ila kwa hasira bi mkubwa hakupanga foleni na alipita moja kwa moja mpaka kwa mganga
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMANNE

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments