PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI(60)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu." Niambie unachotaka kuniambia" akasema shemeji " Una haraka ya kukijua?" nikamuuliza " Kwani hapa umenileta tuangaliane?" akauliza " Lily naomba uniangalia machoni tafadhali" nikamwambia Akageuza kichwa chake na kuniangalia kwa muda mfupi kisha akainama chini " Nimekuomba uniangalie na wala sio kuangalia chini" nikamwambia Akaniangalia tena kwa muda mfupi zaidi na kisha akainama kwa aibu za kike.
 Hicho ndicho nilichokitaka kwake Kutumia udhaifu wake kwa kunipenda ili tupate nafasi ya kupona " Unajua kwa nini unashindwa kuniangalia kwa muda mrefu?" nikamuuliza " Sijui? Ila ujue nimekuja kukusikiliza?" akasema " Lily unanipenda na mimi ninakupenda" nikasema " Wewe hunipend ndo maana unakimbia na huyu dogo na kuniacha" akasema Kila mtu ana udhaifu wake na mimi nilitumia udhaifu wa shemeji kumdhoofisha "
Wewe ndo umesema ila naomba nikwambie kitu, sisi wakristo tunamuamin Yesu kama mwokozi wetu,sasa fikiria kama yule unayemtegemea akuokoe na jehanam alisalitiwa unafikiri sisi binadam wa kawaisa tutaishi bila kusalitiana?" UKITAKA KUENDELEA KUSOMA STORY HII NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.