PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA TISA(69)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.SHEMEJI ANASIMULIA 
Yule mzee alipopaswa kutoa damu ili mwane aongezewe alichukua vitu vyake vyote na kumkabidhi mkewe mkubwa Wakati anatoa vile vitu ndipo akaitoa na simu anayotumia kuwasiliana na bi mdogo ambaye ndiye mama yangu wa Tanga Alitaka kusita kumpa yule mkewe ila tayali ilishaonwa akaona inaweza leta matatizo makubwa sana kwake hivyo akampatia zote Yeye akaongozana na Daktari kuelekea kwenye chumba maalumu ili kutolewa damu Mkewe aliondoka na kwenda sehemu ya kupumzikia kisha akakaa
" Mbona hii simu sijawahi kumuona nayo mme wangu? 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.