PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA NANE(68)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.SHEMEJI ANASIMULIZA HISTORIA YA MAISHA YAKE
Nimezaliwa mkaon Tanga kama nilivyokwambia awali Nilizaliwa na mama peke yake na mpaka umri huu simjui baba yangu kabisa Nilipozaliwa nilipewa jina la Shamim na sio Lily kama wengi mnavyofahamu Mimi ni sio mkristo kama mlivyokuwa mnajua ila nilifanya vile ili kukamilisha kazi niliyopewa na kikundi kile Sijabadili jina mara moja pekee bali mara nyingi sana
Kama mama alivyonisimuliza kuwa baba yangu alimtelekeza kiwa na mimba na kupotea kabisa kutoka maeneo yale ya Mheza baada ya kupewa taarifa ya ile mimba na mama Na baada ya kupotea na pia akiwa sio mkazi wa pale hivyo hakuna aliyejua alikotokea na hata alipokimbilia hakuna aliyejua 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.