PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA SABA(67)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Baada ya Junior kupoteza fahamu Lily ambaye kwa wakati huo alijulikana kwa jina la Shamim ambalo lilinichanganya chanzo chake kutokana na kutolifaham alimwonesha ishara yule kijana aliyekuwa akitaka madaraka yale akijulikana kwa jina la Abdul Abdul akaanza kumsogelea Joan pale alipolala na kisha akaishika shingo yake na kutaka kuivunja "ila acha "akasema shemeji ghafla
"kwa nini shamim?"akauliza abdul "unajua madhara nitakayoyapata kama nitamuua huyo?"akauliza shemeji "hapana ila nafikiri ndiye anayekubania nafasi ya kuwa na huyu ijana au?"akauliza abdul UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.