PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA SITA(66)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Joan alijalibu kupambana kwa uwezo wake wote ila taratibu nguvu zikaanza kumuishia na mwishowe akatulia kimya " Joaaaaaaaaaaaaaaaa......" nililia kwa uchungu sana ila kabla sijamaliza kulitaja jina la Joan nikasikia milio ya risasi eneo lile Kuja kushtuka na kugeuka ili kujua risasi zinatokea wapi nikashangaa kumkuta Majid akiwa kalala chini huku kifua chake kimechalazwa na risasi vibaya mno
Pembeni ya Majid alisimama kijana mwingine wa Kisomalo aliyejazia akiwa kashikilia silaha ya moto sana aina ya AK 47 Wale vijana waliokuwa wakimmwagia maji Joan walishushwa sana na kile kitendo hivyo wakajalibu kuziwahi zile bunduki zao walizokuwa wameziweka chini ili kumtesa Joan


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.