PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA TANO(65)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Niliposikia yale maneno ya Majid kuwa kama sijawahi kukutana kimwili na shemeji kwa kutumia mpira basi nijihesabu nimeumia " Kaka unayoyasema kweli?" Niliuliza " Jun huyu ni mwongo anataka kutugombanisha"akasema Shemeji Yule jamaa hakujibu kitu zaidi ya kunyama kimya mpaka tulipofika Mombasa.
Kwa upande wa shemeji alikuwa na hasira kali sana ila Joan yeye alikuwa analia tu kama mtu asiyejielewa Tulipofikishwa tulishushwa na kuingizwa ndani ya ile nyumba mpaka kwenye chumba kilichoonekana kama stoo kutokana na kujaa vitu vichafu vichafuUKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.