PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA NNE(64)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu." Moja........mbili.....ta......." hakumalizia kuhesabu " Ahca majid,niko tayali kwa lolote" Akasema shemeji " Vizur.Ally mfunge Shamim vizuri kisha twende tukapande helikopita na kuondoka eneo hili" akasema Majid Tukakokotwa na wale jamaa mpaka pale walipopaki ile Helikopita na tukaingizwa ndani Shemeji alifungwa na vyuma vizito mikono yake kwa nyuma kisha akafungwa kitambaa cha kuziba macho yake asione kitu nayeye akaingizwa kwenye Helikopita.
Tukaanza safari kutoka eneo lile Sikujua tunakopelekwa kwa sababu sikuwa mzoefu wa maeneo yale " Shamim! Wewe ni wa kutusaliti sisi kisa mwanaume?" jamaa aliuliza " Ni wanaume wangapi umekutana nao wazuri na wenye mvuto? Unamganda huyu kunguru mpaka kutusaliti? UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 
Post a Comment
Powered by Blogger.