PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SITINI NA MBILI(62)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Nilibaki nimekodoa macho kwa kushangaa kila kitendo alichokifanya shemeji pale kwa muda mfupi ule Na hap ndipo nilipokumbuka kuwa shemeji alishaniambia ameshaua wanaume wengi sana ila hakunimalizia ile simulizi ya maisha yake Nikapanga mwenyewe kuwa haya mambo yakitulia lazima nitamuuliza vizur ili aendelee kunisimulia na nijue namna ya kumkabili kwa sababu yale mambo niliyoona akiyafanya kwa wale waarabu lazima iwe ngumu kukabiliana naye " Tundokeni eneo hili haraka sana kwa sababu hapafai kabisa hapa,ndugu wa huyu Msomali wananifaham,wakisikia kilichofanyika kwa ndugu yao na kisha wanione hapa Kenya watajua ni mimi peke yangu" Shemeji aliongea huku akiwa na wasi wasi saana


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 
Post a Comment
Powered by Blogger.