MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI(70)


Pamoja Blog 5/19/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Mama aliposikia habari ya mme wake kuwa na mke Dar alishtuka mpaka akahisi tumbo linamkata " Labda sijakwelewa wifi! Mke kivip?"akauliza " Sikia wewe si ni mwanamke kama mimi ?"akauliza Bi mkubwa " Ndiyo ila sijakwelewa"akasema mama " Utaelewa tu ila naomba uongee kistaarabu kwa nitakachokwambia kwa sababu nimekupigia kistaarabu na wala sijaongea kitu kibaya au kukutolea lugha chafu"akasema bi mkubwa
" Una maana gan?"akauliza mama " Nina maana kwa nitakachokwambia uwe mtulivu na msikivu ili tuweze kuelewana sisi sote ni wanawake na tuajua uchungu wa mme hivyo hatupaswi kutoleana lugha chafu cha msingi tuelewane"akasema bi mkubwa



UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA IJUMAA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments