PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA NANE(78)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Baada ya mganga kupambana na nguvu za mama kwa muda na kufanikiwa kumshinda kutokana na mama kutorudi nyumbani kupambana na ile nguvu aliyohisi kama mapambano Mganga aliwaita wale wanawake ndani na kuwapa dawa ya kunyunyiza kitandani kabla ya kulala "Yule mwanamke ana nguvu kubwa sana ila kuna kosa amefanya nikamzidi nguvu ila yawezekana madhara ya hili jambo yakawa makubwa zaidi ya tulivyofikilia ila hii dawa itakulinda kama atajalibu kulipa kisasi! Jitahidi uwe unainyunyiza kitandani kabla ya kulala"alisema mganga "sawa mganga nashukuru sana"akajibu Bi mkubwa
"Pita pale nje kwa msaidizi na uweke ulichonacho! UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.