PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA SABA(77)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mama alipomaliza kuongea na ile simu alinigeukia na kuniambia "Baba yako amesema anakuja kwa sababu bi mkubwa amemnunia usiku mzima"aliongea kwa furaha "Unaona hiyo kama dalili nzuri kwako mama?"nikamuuliza "Ndiyo mwanangu,unajua kwa sasa tupo kwenye mashindano na kosa la mwenzako nifaida kwako! Hivyo anavyofanya makosa yeye kwa upande wangu napata faida"akanijibu
"Mimi sidhani kama ni sawa! Naona dalili za hatari sana kwenye maisha yetu mama"nikamwambia "Acha mawazo finyu mwanangu! Hakuna baya litakalotukuta mimi nimefungwa na babu yangu na hakuna wa kuniweza"akasema mama "Haya mama"nikamjibu Upande wa Bi mkubwa alipata kigugumizi cha kuchagua moja kati ya yale mambo "Mbona ngumu?

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.