MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA SITA(76)


Pamoja Blog 5/25/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mama alikuwa anajiamini sana hasa baada ya kuona bi mkubwa alivyolipeleka lile swala kistaarabu akaamini kuwa ni mstaraabu sana Tulipofika nyumbani mama alielekea kwenye duka alilofunguliwa na mzee na kuangalia biashara zinaendeleaje kwa vijana aliowaajili Upande wa Bi mkubwa alilala nusu macho nusu usingizini na akili yake haikuwa sawa kabisa 
Hakumuongelesha kabisa mme wake kwa lolote mpaka kunakucha Kulipolucha aliamka mapema sana akajiandaa vizur na kuondoka huku akiwa hajaongea chochote na mmewe na mme hakuhangaika kumuongelesha bali alinyamaza
Safari ya moja kwa moja kwa shoga yake kushughulikia tatizo lake "mmmmmh! Shoga umewahi sana una kimuhemuhe"akasema shoga "acha hizo bana! 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA ALHAMISI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments