PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA TANO(75)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Bi mkubwa alikubali yaishe ili tu asiachwe na mme wake lakini wakati anaitisha kikao kile aliamini mme wake atamtelekeza mama "Pesa zangu,mali zangu na bado niletewe bi mdogo? Lazima kieleweke tu hapa" aliwaza Kikao kilivunjwa kwa makubaliano ya mzee kuruhusiwa kumiliki wanawake wote wawili na akipaswa kuwahudumia kwa usawa kabisa Baada ya kikao mama na bi mkubwa walipeana mkono wa heri " Haya ni sehemu ya maisha mwenzangu! Na siwezi kukulaumu kwa sababu hukuelewa kuwa mwenzio ana mke! Hivyo jisikie huru kabisa na aman"akasema bi mkubwa
"Ahsante mwenzangu kwa kuwa mkalimu kwangu"akajibu mama Baada ya kikao tulisafirishwa na mzee kwenda kituo cha mabasi na kisha akatupandisha kwenye basi kurudi Tanga "Usiogope mke wangu haya yataisha na aman itaendelea kuwepo! 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.