PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA NNE(74)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Bi mkubwa aliishiwa pozi kabisa na kubaki akiwa kajiinamia! Kwa upande wangu yaliyokuwa yanatokea pale ingawa yalikuwa na faida kwa mama lakini mimi yalizidi kunichefua kwa sababu yalinifanya nimuone yule mzee kama msaliti na mwenye roho mbaya ambaye anaweza kukufanya kitu kibaya bila kufahamu " Sema sasa! Si ulitaka niyaweke wazi? 
Haya hayo hapo nimeshayaweka! Hivi unafikiri ungeishi na mimi kama mme ukinitimizia mahitaji yangu yote ningefikia hatua hiyo ya kuoa tena?"akaongea mzee
"Samahan mme wangu sikujua kuwa yatafika mbali hivyo nisamehe tafadhali"aliongea kwa huruma huku akionesha mtu wa kuonewa huruma sana " 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.