PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA TATU(73)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mzee yule baada ya kuambiwa achague kati ya mama yangu na yule bi mkubwa alitulia kwa muda na kututazama " Naona kikao kinaongozwa na mtu mmoja peke yake! Ila nadhani gurudumu lingehamishiwa kwa mtu mwingine yawezekana nikapewa nafasi ya kuongea"aliongea taratibu sana kiasi cha kila mmoja kumwelewa " Tumekwelewa kaka ila tambua kuwa shemeji ana hasira juu ya kilichotokea ndo sababu anaongoza kikao labda nichukue jukumu la kuongoza kikao hiki"akasema kaka wa mzee yule
Nilimwangalia bi mkubwa ili nijue ni maamuzi gani aliyonayo juu ya swala lile ila alikuwa kainama chini " 
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.