MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA MBILI(72)


Pamoja Blog 5/21/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mzee yule aliposhuka kwenye gari yake ili aingie ndani alishtuka kuyakuta magari mawili ya ndugu zake yakiwa pale nje Akashtuka na kushangaa na hapo hapo kengele ya hatari ikalia kichwani kwake "Kweli kuna aman hapa? Mmmmh!!!"aliwaza Hakuwa na jinsi kwa sababu alishafika nyumbani na wote waliokuwa pale wana taarifa juu ya ujio wake ikabidi aingie tu na hata hivyo hakujua kilichopo ndani
Kule ndani kwenye kikao tayali mke wake mkubwa alishawaeleza ndugu wote kila kitu kuhusiana na mama yangu na wote wakaafiki kitu kimoja Mzee yule alifungua mlano na kuwakuta ndugu zake na mkewe mkubwa wamekaa 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments