PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA SABINI NA MOJA(71)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mama alisema maneno mabaya sana juu ya wanaume ambayo yaliuchoma sana moyo wangu na nikajikuta kuanzia siku hiyo ninawachukia sana wanaume " Nikiwa mkubwa nitawafanya wanaume wajute kuwaumiza wanawake,lazima nitawafanyia kitu ambacho hawatanisahau" niliwaza mwenyewe " Shamim mwanangu maisha ndivyo yalivyo yawezekana sisi tulipangiwa maisha ya shida ila nitafanya chochote kwa sababu yako laiti nisingekuwa na wewe ningeondoka kwa huyu mwanaume leo hii"aliongea mama kwa uchungu sana
Maneno aliyokuwa akisema mama hakujua ni jinsi gani yaliniathiri kwenye akili yangu! Nilimchukia sana huyu baba mpaka nikafikiria nimuue asimsumbue mama Mara baada ya mama kumaliza kulia alitulia na kuingia chumbani

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA 

ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.