PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA HAMSINI NA TATU (53)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Akili ndipo ilipoanza kunirudia na kugundua tumefanyia mapenzi chumbani kwa shemeji au mke wangu wa sasa " Dah! Hivi imekuwaje tukaja huku? Si tungeenda kule kwako?" nikajikuta nauliza swali la kipuuzi sana " Unaniuliza mimi? Mtu ambaye hata sikumbuki nimeingiaje humu?" akajibu 
Tulibaki tunaangaliana kwa muda kisha Joan akayakusanya yale mashuka na kisha akayaweka kwenye chombo maalumu na kwenda nayo bafuni kuyaloweka ili aje ayafue asubuh Wakati anatoka pale ndani nilimuona akichechemea kwa mbali kuonesha kuwa tayali ukigori ushapotea " Dah! Me kidume,mtoto keshakuwa mtu mzima sasa!!! Ila huyu itabidi nitafute namna ya kufanya kwa yule baradhuli apotee niishi naye kwa aman" nikawaza mwenyewe 
Alitulia bafuni kwa dakika kadhaa nikajua atakuwa anajikanda na maji ya moto ili maumivu yapungue kisha akarudi chumbani " chukua basi mashuka mengine utandike af tuhamie chumbani kwangu,humu hapafai tena" akasema Nikanyenyuka kivivu na kutoa mashuka nikamrushia pale,akayachukua na kutandika kitanda vizuri 
Nikachukua airfresh na kupuliza nyingi chumba kizima kisha tukafunga madirisha na milango kisha tukaelekea chumbani kwa Joan Tulipofika tulijibwaga kitandani na kuanza kucheza michezo ya kimapenzi " Naomba nikuulize kitu baby?" akasema " Uliza tu kipenzi changu" nikamwambia

Hivi unampenda dada?" akauliza " Simpendi hata kidogo,unajua kuna kitu kimejificha hapa katikati" nikasema " Kitu gani hicho baby wangu" akauliza " Unajua kuwa kaka hajaafa kifo cha kawaida?" nikamwambia " Heeeee! Sijui,usinambie,ilikuwaje?" akahamaki na kuuliza " Mimi niseme ukweli kila tulichokuwa tunakifanya sikukifanya kwa akili yangu,shemeji alinilazimisha tukawa na uhusiano wa kimapenzi kisha akaniendea kwa waganga na kuichukua akili yangu ndipo akapanga njama za kumuua kaka ili abaki na mimi tuoane" nikamwambia 
Nilimwona dhahiri akiwa kashtuka kutokana na taarifa ile,yawezekana hakutarajia kuwa dada yake anaweza kuwa katili kiasi kile " Kwa hiyo shemeji mlimuua?" akauliza " Habari ndo hiyo" nikajibu " Ushaniweka matatizoni tayali,kama mtu aliweza kumuua mme wake kwa ajili yako unafikiri atashindwa kuniua mimi?" akasema kwa uoga " Hapo ndipo napotaka tucheze mchezo wa hatari,kwa sababu yeye alimuua kaka na kuwa na mimi wakati simpenzi,basi sisi tumekutana tunaopendana inabidi tumuwahi yeye" nikamwambia " Una maana gan? Tumuue?" akauliza " 
Ndiyo,unajua shemeji kuna kifaa kinamitambo ya GPS amenifunga mwilini hivyo akirudi kazini akafungua laptop yake haya yote tulitofanya atayaona vizuri hivyo atakuua tu! Cha msingi tumuwahi" nikasema " Mama yangu Jun umeniweka kwenye kifo" akalalamika " Unanipenda?" nikamuuliza " Tena sana Junior" akajibu " Basi tumuue" nikasema " Tunamuuaje?" akauliza " Itabidi niibe pesa kwenye acc yake kwa sababu namba za siri ninazo kisha tukahonge na kupitisha chakula chenye sumu kule aliko kwa jina la mtu mwingine ili tusihusishwe akila na kufa sisi hatutaguswa na yule askari atakayetusaidia kazi hiyo tutamuua ili kupoteza ushaihidi" nikasema " Unaona njia hiyo itafanya kazi?" akauliza " Ndiyo,mimi kwa kukaa na dada yako nimejifunza njia nyingi sana haramu hivyo niamin" nikasema " Poa basi" akajibu T
uliendelea kupiga stor mpaka usingizi ulipotushika na kwa sababu ya stor hizo hatukuwa na hamu ya tendo tena Asubuh Joan alikuwa wa kwanza kuamka na kuelekea jikoni ili kuandaa chakula cha kumpelekea shemeji Cha ajabu sana akamkuta Shemeji akiwa kakaa sebuleni katulia tuli!!!

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.