MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW SANGA WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM UKITOKEA MAREKANI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mwili wa Marehemu Andrew Nick Sanga ukiwa Umewasili Tanzania.Picha na Fredy Njeje

 Walio wasili na Mwili wa King Drew wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambalage Nyerere
 Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamefika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 Baadhi ya Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika eneo Maalum kwa ajili ya kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga
 Baadhi ya watu wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga
 Yalikuwa ni Majonzi
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga ukiwa umesha wasili na hapa Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa wanaupeleka katika Gari Maalum Tayari kwa kuelekea Muhimbili kumhifadhi.
 Mwili wa Marehemu ukiwa umewasili Muhimbili kwa ajili ya kwenda kuhifadhiwa
 Mmoja wa Mwanakamati ya maandalizi akitoa taarifa fupi
Baadhi ya ndugu jamaa na Marafiki waliofika kwa ajili ya kumsindikiza Mpendwa wetu Andrew Sanga Muhimbili Kuhifadhiwa Usiku Huu 
Post a Comment
Powered by Blogger.