MAONYESHO YA BIDHAA ZA PLASTIKI YAENDELEA MLIMANI CITY

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


DSC_4713Bwana Anwar Mohamed akitoa maelezo ya kina kwa baadhi ya wananchi waliokuwa wakitembelea maonyesho hayo katika banda la Talab.DSC_4886
Mwenyekiti wa kampuni ya Altalab Factories Group, kutoka Misri, Bw.Abdelhkim Altalab (kushoto) akitoa maelezo kwa mmoja wa wageni waliotembelea katika banda hilo kwenye maonyesho hayo.

Maonyesho ya bidhaa z Plastiki yaliyoanza jana Mei 27.2016 katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam yanatarajia kufikia tamati hiyo kesho Jumapili ya Mei 29.
Maonyesho hayo ambayo Tanzania ni mwenyeji kwanza ya bidhaa za plastiki, mpira, kemikali za petrol na ujenzi yanakuwa ya kipekee huku watu mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa wingi katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Mlimani City jijiniDare s Salaam.
Awali Meneja Mkuu wa Expo One, Ahmed Barakat ambao ni waandaaji wa maonyesho hayo, alisema nchi zote za Afrika Mashariki na kati zinashiriki katika maonesho hayo.
Afrika –PPB-EXPRO ni jukwaa la kipekee la bidhaa mpya na yatatoa mwanya wa kuyaelewa masoko yake ambayo hayafahamiki vizuri.
“Maonesho haya yamebuniwa kwa lengo la kukuza umoja miongoni mwa Waafrika kwa kuimarisha mahusiano ya kibiashara kati ya Misri na Tanzania na hali kadhalika kuyaweka masoko yake kwenye ramani ya Afrika,kubainisha kuwa Tanzania ni ya kwanza katika orodha ya nchi za Afrika ambapo Africa-PBB-EXPO imepanga kushirikiana nayo.
Alisema kupitia Aramex na kwa uratibu wa TanTrade na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Africa-PBB-EXPO inatoa fursa ya kipekee kwa waoneshaji walio na kanzidata za kina kusajiliwa mara zinapopokelewa.
Barakat alitoa wito kwa wafanyabiashara kushiriki katika maonesho hayo ili kuweza ‘kubaini fursa za ushirikiano katika masoko haya mapya pamoja na mtandao ulio na wateja na wenza wa kibiashara.
“Kampuni ya EXPO ONE ambayo ni mwandaaji, ni taasisi ya kati ya usimamizi wa mikutano na maonesho ambayo imejikita katika kuandaa na kutoa huduma kwa maonesho ya biashara ya kimataifa pamoja na kuyatangaza mabanda ya Misri katika maonesho ya ndani na ya kimataifa.
DSC_4907 DSC_4906 DSC_4907 DSC_4810 DSC_4908 DSC_4828 DSC_4810 DSC_4829 DSC_4834 DSC_4899 DSC_4805Pichani juu ni baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na kusambazwa na kampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL). Watu mbalimbali wamekuwa wkifika kwa wingi kwenye banda hilo kupata maelezo ya kina namna ya bidhaa bora za kampuni hiyo. Watu wote wanakaribishwa kufika kwenye banda hilo ambalo lipo mstari wa pili katika mlango wa kuingilia katika ukumbi huo.

DSC_4888 ssMwenyekiti wa kampuni ya Altalab Factories Group, kutoka Misri, Bw.Abdelhkim Altalab aliyeshika kiti, akimuonyesha mmoja wa wageni waliotembelea katika banda hilo kwenye maonyesho hayo.
DSC_4729 DSC_4844 DSC_4851 DSC_4850 DSC_4849
Banda la bidhaa za Kiboko Alu-Zinc
DSC_4767
Mwanadada Sarafina Wasley akitoa maelezo namna ya bidhaa zinazosambazwa na StoneBlock Bulding wakati wa maonyesho hayo.
DSC_4785
Mwanadada Sarafina Wasley akitoa maelezo namna ya bidhaa zinazosambazwa na StoneBlock Bulding kwa wateja (hawapo pichani) wakati wa maonyesho hayo,
DSC_4780 DSC_4841 DSC_4842 DSC_4784 DSC_4782
DSC_4716 DSwwC_4721 DSC_4720 DSC_4718
DSC_4759 DSC_4739 DSC_4857 DSC_4754
DSC_4793 DSC_4787 DSC_4797 DSC_4826 DSC_4802 DSC_4823 DSC_4817 DSC_4813
Meneja Masoko wa TCL (Technical Chemical Laboratory) , Bw Louay Abd El-Rahman (kushoto) akitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea banda hilo kwenye maonyesho hayo leo Mei 28.2016, katika ukumbi wa Mlimani City. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).
Post a Comment
Powered by Blogger.