MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » JENGO LA NSSF LA ENEO LA AKIBA LAWAKA MOTO MUDA HUU.


Pamoja Blog 5/06/2016 07:51:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Jengo la NSSF la eneo la Akiba jijini Dar es Salaam lawaka moto muda huu. Chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kuripuka na kusababisha moto huo.

Magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio na kuanza Shughuli za uzimaji moto katika jengo la NSSF  lililopo eneo la Akiba jijini Dar es Salaam muda huu. Moto huo inasemekana hakuna madhara makubwa (yakibinadamu)yaliyojitokeza kutokana na watu wa zimamoto kufika kwa wakati katika eneo hilo.
(Chanzo: Michuzi Blog)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments