DCM LAPINDUKA NA KUJERUHI WATU KADHAA KATIKA ENEO LA KIPAWA NJIA PANDA YA JET LUMO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Baadi ya wasamalia wema wakijaribu kuwaokoa abairia waliokuwa wamepanda gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam baada ya ya kupiduka leo mchana eneo la Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo, Dar es salaam. 
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli. Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa katika hospitali za Amana na Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wananchi wakiliangalia paa la gari hilo lililokatwa kwa kupata urahisi wa kuwatoa majeruhi waliokuwemo kwenye gari hilo
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio
Post a Comment
Powered by Blogger.