BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR, WILLSON KABWE AFARIKI DUNIA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu. 
 Aidha, inasemekana tangu April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. 

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina
Post a Comment
Powered by Blogger.