UZINDUZI BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo kuzindua Baraza la 9. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshima ya gwaride la Kikosi cha FFU.

 Wajumbe wa baraza la Wawakilishi wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipoingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya Mabalozi wan chi mbali mbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Post a Comment
Powered by Blogger.