UPDATES: MAJAMBAZI YACHEZEA KUBANO LEO KARIAKOO JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Watuhumiwa wa Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana huu katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es salaam. Majambazi hao walikuwa wameisha anza kupigwa na wananchi wenye hasira kali katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
Post a Comment
Powered by Blogger.