TUME YA MIPANGO YAZINDUA MWONGOZO WA MWINGOZO WA USIMAMIZI NA UTAYARISHAJI WA MIRADI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UMMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 : Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma, kushoto ni Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma bibi. Rehema Madenge na kulia ni bi Anna Kimwela kutoka Tume ya Mipango.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma (Public Investment Management Operational Manual), kulia ni Kaimu katibu mtendaji wa Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri na kushoto ni katibu tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema Madenge.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa hotuba katika mkutano wa uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma kilichofanyika mjini Dodoma. 
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wa tano kutoka kushoto kwa waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano mara baada ya uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma.
Post a Comment
Powered by Blogger.