POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WAKAMATA MAROBOTA YA VITENGE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam Kamishina Simon Siro, akionyesha marobota 10 ya vitenge pamoja na katoni 17 za Pampasi zilizokamatwa zikiwa katika  gari yenye namba za usajili T 490 CQB katika eneo la Gezaulole jijini Dar es Salaam jana. Baada ya askari polisi kupata taarifa kwa raia wema kuwa eneo hilo kuna watu wanasafirisha mali hiyo ambayo haijalipiwa ushuru. (Picha na Francis Dande)
Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam Kamishina Simon Siro akionyesha pikipiki zilizokamatwa katika matukio mbalimbali ya kiuharifu zikiwa katika kituo kikuu cha Polisi, ambapo amewataka wahusika kufika kituoni  na kuchukua pikipiki zao kabla hazijapigwa mnada. 
Post a Comment
Powered by Blogger.