PICHA ZA MALKIA WA UINGEREZA ZATOLEWA LEO BAADA YA KUTIMIZA MIAKA 90

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Malkia wa Uingereza ametimiza miaka 90, hii leo ambapo zimetolewa picha mbalimbali za malkia huyo akiwa na vitukuu, wajukuu pamoja na watoto wake na wenza wao.Picha hizo zenye mvuto zilizopigwa na Mmarekani Annie Leibovitz, moja wapo Malkia yupo na vitukuu vyake huku akiwa amembeba kitukuu chake cha mwisho Princess Charlotte.
Malkia wa Uingereza akiwa na Prince Charles, Prince George aliyeshikwa mkono na baba yake Prince William
   Picha ya pamoja ya wanafamilia ya Kifalme wa Uingereza, hapa anakosekana Prince Harry
Post a Comment
Powered by Blogger.