PICHA: MSANII SNURA AZINDUA VIDEO YA NYIMBO YAKE YA "CHURA" NDANI YA MAISHA BASEMENT

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Video ya ngoma mpya ya mwanadada Snura iitwayo "Chura"  imezinduliwa  ndani  ya maisha basement jijini Dar es Salaam na ngoma hiyo iliyoombwa zaidi ya mara 4 irudiwe imekuwa kama nuru kwa sasa kwa mashabiki wake.
 Hyperman Hk akizungumzia jambo wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Chura ndani ya maisha Basement

Sasa wakati ukafika wa kuonesha mambo kwenye stageStejini ni Tony TBWAY 360(aliyeshika mipaza sauti) akiwasimamia wadada waliokuwa wanashindania zawadi kutoka kwa East Afrika Radio na Televison kwenye sherehe za kuazimisha miaka 17
Mashabiki na wapenzi wa Snura wa Majanga wakiendelea kufuatilia kwa makini shoo yake huku wakiwa na hamu ya kumwona huyo chura
Mashabiki wakitazama kichupa  kipya cha Snura kiitwacho Chura
Sasa ile kazi ya kuonesha Chura Live ikaanza ndani ya maisha Basement
Hakika ilikuwa ni shida
Post a Comment
Powered by Blogger.