PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA THELASINI NA MOJA (31)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.MIAKA KUMI ILIYOPITA HANDENI TANGA 
Latifa ( shemeji yangu huyu wa sasa) alikuwa akiishi na mama yake na baba yake wa kambo. Baba huyu alichukua mama yake miaka miwili nyuma na kuanza kuishi naye kwa ile style ya kuzeekeana pamoja. Baba yangu mzazi sikubahatika kumfahamu kutokana na maelezo ya mama yangu kuwa alikuwa na asili ya uarabu ndani yake na aliondoka kurudi kwao Oman. 
Nilikuwa nimeanza kuingia katika umri wa balehe hivyo mwili wangu ulianza kujitengeneza na kuanza kuvutia sana. Umbo lango lilijichonga na kuwa la kuvutia sana,ukiongeza na ule mchanganyiko wa uarabu na utanzania wa mama yangu hakika nilikuwa navutia sana. Baba yangu wa kambo alianza kuonesha kuvutiwa na mimi mapema kabisa nilipotoka likizo yangu shuleni Ashira huko Moshi Kila wakati ambao mama alikuwa akiondoka nyumbani na kutuacha wenyewe baba yule alijalibu kunisifia na mara kwa mara nilimkwepa " 
Unajua Latifa wewe ni mzuri sana kiasi kwamba najuta kumjua mama yako kabla yako,tafadhali kuwa wangu wa siri nitakufanyia chochote utakachohitaji" alibebembeleza baba yule bila haya Nilimkatalia mara zote na kuendelea kumkwepa kitendo kilichomuudhi sana mzee yule. Siku moja mama alipatwa na msiba huko kijijini kwao Handeni na kutuacha mimi na yule baba peke yetu pale nyumbani Nililia sana nikimsihi mama abadili uamuzi tuende wote ila alikataa katakata na kuomba nibaki nikimsaidia baba mapishi Mamma yangu hakujua kinachoendelea hivyo sikuwa na jisni ya kuepuka hali ile. 
Kama nilivyotarajia ndivyo ilivyotokea,usiku yule mzee alianza mbinu zake chafu kwangu na mimi nikapambana ili asifanikiwe Mwenye nguvu ana nguvu yule mzee aliwasha redio yake kwa sauti ya juu sana na kisha akatimiza lengo lake kwangu. Nilikuwa kigori nisiyemjua mme hivyo yule mzee ndiye alikuwa mwanamme wangu wa kwanza kabisa. Nilipatwa na maumivu makali sana ukeni ila yule mzee hakujali chochote kila " 

Usiwaze Latifa hii hali huwakuta wanawake wote wanapoanza mapenzi ila taratibu huanza kuzoea na kusahau maumivu na mwisho huanza kusikia raha" aliongea ujinga wake mara baada ya kumaliza Alipomaliza aliondoka huku mezani akiwa ameacha pesa kama elfu hamsini akidai ni kifuta jasho na ili nitunze sirri Usiku huo sikulala bali nilibaki nalia sana usiku kucha kwa kitendo nilichofanyiwa. Asubuh yule mzee alinibembeleza kwa maneno matam na mimi nikaamini amejutia kosa na kile kitendo hakitajirudia tena. Alipoenda kazini nilitumia fursa hivyo kujikanda na maji ya moto ili kupunguza yale maumivu 
Bado nilishinda nikiwa sina raha yeyote ile pale ndani. Jioni aliporudi kama kawaida alikuwa na furaha sana,aliniletea zawadi nyingi sana na sana sana midoli ambayo nilipenda kuipamba kwenye chumba changu Kwa akili yangu nikajua anafanya hivyo ili nimsamehe na kutomwambia mama kumbe nilijidanganya kabisa Usiku kama kawaida yule mzee alianza kunishika shika pale pale sebuleni sehemu mbalimbali za mwili wangu Nilichukia sana kutokana na kitendo kile ambacho niliamin atakuwa amejua ni kosa na kuacha 
Nilimsukuma kwa hasira wakati tukiendelea na kile kitendo mpaka akaanguka chini kwa bahati mbaya aliangukiwa kichwa na damu zikaanza kumtoka Nilipoajalibu kumwamsha hakuamka kabisa,nikajalibu kwa jitihada zangu zote haikuwezekana Pamoja na umri mdogo niliokuwa nao ila nilijua kabisa kuwa yule ameshapoteza maisha Niliogopa na kutetemeka sana,nikachukua nguo zangu chache na kukimbilia kwenye kanisa moja ya kiroman katoliki iliyokuwa jilani na pale nyumbani.

ITAENDELEA  JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.