PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU (23)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Baada ya wale vijana kumaliza kukata zile breki na kuhakikisha hakuna usalama kwenye lile gari walitupigia simu na kutupa taarifa. Shemeji alirukaruka na kufurahia sana tukio hilo akiamin kuwa ni ushindi mkubwa sana kupitia hatua aliyotaka kuipiga kimaisha pamoja na mimi. " Tu enjoy baby mambo super" alisema huku akinikumbatia. Na mimi nilifurahia ushindi huo kwa sababu akili yangu ilishachukuliwa na madawa sikuona tatizo. 
Tulijiandaa na kisha tukaondoka huku tukiwa tumeshikana viuni kuelekea kwenye gari tukapanda kisha tukaelekea kazini. Wakati tukiwa njiani Shemeji alipokea simu kutoka kwa wale vijana wakimtaarifu kuhusu kinachoendelea. " Mmeo na dereva wamepanda kwenye gari na kuondoka,tunaamin kila kitu kimeisha hivyo tunakuja hapo muda si mrefu utupe chetu,jiandae kwa msiba" walimwambia Shemeji Shemeji aliponiambia vile na mimi nilifurahi sana kuona ndoto zetu zinaenda kutimia.
 Tulipofika kazini tulifungua biashara kama kawaida na kuendelea nayo kama hatujui kinachoendelea. Muda wote Shemeji alikuwa akisubiri simu ya taarifa juu ya kifo cha mme wake ili tukamilishe ushindi. Ilipofika saa nane kukiwa kimya shemeji aliniambia tufunge duka na kuelekea Uwanja wa ndege,sikujua ana lengo gani?. 
Tulipofika kalibu na uwanja wa ndege tuliikuta gari ya kaka ikiwa imeharibika vibaya sana,haikutamanika kuangalia mara mbilo Shemeji akamuita kijana mmoja aliyekuwa eneo lile na kujalibu kumpeleleza " Inasemekana jamaa hawa waliokuwa humu walikuwa wameiba vitu ndo maana speed yao ikawa kubwa vile" alisema yule kijana "
Kwa hiyo wamekufa?" akauliza shemeji " Yap,nasikia wote wamedanja mwanangu" aliongea lugha ya kihuni akimaanisha wamefariki Shemeji aliondoa gari mpaka Magomeni na kuingia hotel moja naikumbuka inatwa Treventine na kisha akachukua chumba " Shem huu muda si tungeanza kushughulikia msiba?"
 nikauliza " Hapana,inabidi tusionekane kama tunajua chochote juu ya hili,leo tulitoka kwa ajili ya kufatilia mzigo wetu Morogoro na ajali ilipotokea hatukuwa Dar hivyo hatuhusikia,zima simu yako na mimi nazima yangu kisha burudani mtindo mmoja" akasema shemeji Nilizima simu na yeye akazima ya kwake na kuagiza bia nyingi sana kisha tukaanza kunywa kama shemeji alivyodai kuwa tunashelekea Tulikunywa sana bia na kufanya mapenzi kwa muda mrefu sana
 " Kunywa bia shemeji,sasa unaenda kuwa mme wangu halali,acha mngese yule ajifie huko" akasema kilevi shemeji " Mngese sana yule,atajuta kuzaliwa,nani alimwambia azaliwe hanithi?" na mimi nikaongea kilevi " Na yeye anajiita mwanamme,mwanamme gan miaka mitatu kwenye ndoa hata mate sijatema?" akasema shemeji " Kwanza njoo hapa na wewe,nipe mambo mapa nibebe mimba leo leo la sivyo na wewe utafatia mbwa nyie" aliongea tena kilevi akinikumbatia Muda huo nilikuwa hoi sana kwa ajili ya pombe kiasi kwamba nilikuwa sijielewi kabisa. " Shida ni mimba tu? Kisogeze hapa nikishughulikie,utabeba leo leo" 
nikajibu kilevi Kweli shemeji akanivamia na bila kuandaana tukaanza kushughulikiana kwa fujo. Tulipeana mambo kwa muda wa nusu saa pekee na kila mmoja akawa hoi na kulalia upande wake. Baada ya muda nilichukua simu ya shemeji na kuiwasha,kwa hasira akaninyakua ile simu " Nimesema leo ni burudani mwanzo mwisho,simu kuule" akasema kilevi Wakati anapambana kuizima ile simu kuna mlio wa message uliingia kwenye simu na yeye akajikuta akiufungua na kuusoma Baada ya kuusoma ule ujumbe pombe zoote zilimwisha shemeji kichwan,nikashangaa akili yalke ikiwa sawa kabisa " Kuna nini?" niliuliza " Kaka yako hajafa" alijibu Na mimi pombe zote zikaniisha kichwani.

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.