PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI (22)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Nililipenda lile wazo la shemeji kwa sababu katika hali halisi sikutaka mkono wangu uhusike katika lile swala la mauaji " Hapo umenena,nakuunga mkono asilimia mia moja" nikamwambia shemeji " Kama umeniunga mkono basi tuko pamoja,niamin mimi ndo engineer naendesha kila mtambo hili swala ni dogo sana we jiandae kuwa mmiliki" akasema Nilimsogelea kisha tukakutanisha midomo yetu na tukabadilishana radha ya chumvi chumivi kutoka midomoni kwetu " Ahsante sana baby kwa upendo wako" akasema " 
Na wewe pia ahsante sana honey" nikamjibu Tuliongozana kutoka ndani mpaka kwenye gari kisha safari ya kuelekea kazini ikaanza. Njiani tuliendelea kupiga story mbili tatu z kufurahishana na kutaniana ila ghafla simu ya shemeji ikaita " Kaka yao huyo anapiga nyamaza" akasema " Hellow....wazima sijui wewe?......tuko poa sema tumekumis.......ndiyo.....nipo nae ndo tunaeleke kazin....mzima.....ndiyo....unakuja lin?.......kesho?.....basi poa kalibu sana....haya" kisha akakata simu " Huyu fala anakuja kesho kwa hiyo mipango yetu inaenda kama kawa." akasema baada ya kukata simu 
Tuliendelea na safari huku tukifurahia tukio lile ambalo tuliamin litaenda kutuweka pamoja milele. Tulipofika kazini tulifanya kazi kwa furaha huku biashara ikiendelea vizuri sana " Baby ngoja niende nikaonane na wale vijana nimalizane nao kabisa" alisema shemeji huku akichukua pesa kadhaa na kuondoka Nilipiga kazi mpaka jioni peke yangu kisha nikafunga na kuelekea nyumbani. 

Niliwakuta vijana wanne pale nyumbani wakiwa na shemeji wakipeana maelekezo "Shemeji afadhali umekuja,vijana wenyewe ndiyo hawa hapa,nimeshawalipa sema wamekuja kuliangalia gari kisha kuandaa mazingira" alisema shemeji huku akinibusu " Haina tatizo shemeji tuko pamoja" nikamjibu Baada ya kumalizana na wale vijana waliondoka na mimi nikapelekwa chumbani na kuogeshwa kama mtoto mdogo. Baada ya hapo tuliondoka nakuelekea Sinza Afrika sanana shemeji kwa ajili ya kujipongeza kwa ushindi tulioutarajia muda si mrefu. " 
Cheeers baby,tunaenda kuupata ushindi muda sio mrefu na hatimaye tutakuwa mke na mme" alisema shemeji wakati akinigongea glass Tulikuwa kwenye hotel ya Atriums tukila na kufurahi kwa pamoja. Mziki ulipopigwa tulienda kucheza pamoja na shemeji huku tukiendelea kupiga urabu kwa sana mpaka tukawa hoi. Tulirudi nyumbani mida ya saa sita na kwa sababu ya kunywa pombe nyingi tulijikuta tunalala fofofo mpaka saa mbili asubuh Kilichotushtua ni binti wa kazi aliyelalamika simu ya sebuleni inaita ni kaka anahitaji kuongea na sisi. 
Shemeji alishtuka na kupiga no za wale vijana wake na kisha kuwa pa maelekezo ya kusubiri uwanja wa ndege. Alimpigia dereva wa kaka pia na kumwambia aje kuchukua gari na kumfata kaka uwanja wa ndege kwa sababu sisi tulikuwa busy sana Dereva alipofika hatukutoka nje kwa sababu alijua tuko kazini,alielekea uwanja wa ndege kumfata kaka. Wale vijana nao walianza kulifatilia gari kutoka nyumbani mpaka uwanja wa ndege. Yule dereva alipofika uwanja wa ndege aliegesha gari na kutoka ili ampokee kaka na pale pale wale vijana waliingia na kuhalibu breki za gari Baada ya kumaliza walitupigia simu " Tayali,subir dakika chache mtu wenu atakuwa anajina lingine" wakasema

ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.