PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA AROBAINI NA SITA (46)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Tuliendelea kuangalia tv mpaka kilipofika kipindi cha taarifa ya habari na habari ile kurushwa Tuliiskiliza kwa makini wote wakati huo na Joan alikuwa ameshakuja na kujumuika wote pamoja na baada ya ile habari kuisha ndo tukaanza kurumbana " Hapa angejiuzulu na pinda,mbona wamemuacha,mimi kaniudhi sana " akasema shemeji " Pinda katumia akili pale kapiga bao la kisigino" nikajibu " 
Katumiaje akili shem? Na kwa nini hajajiuzuru?" akauliza Joan Nilijihisi furaha kuiskia sauti ya Joan na nikamjibu haraka " yaan kama hawa mawaziri wangekuwa hapa bungeni woote na wakajiuzuru kabla pinda hajafika ingechukuliwa kama ni uzembe wa serikali kutowawajibisha watumishi wake lakin amekuwa mjanja na kuja kutangaza kuwafuta kazi na hapo itaonekana kama serikali imetimiza majukumu yake kwa kuwasimamisha" nikaeleza " 
Hapo nimekwelewa,kwa hiyo yawezekana Pinda alikuwa hata Dar kaja na ndege haraka ili asije akaenda na maji?" akauliza Joan " Ndo hivyo" nikamjibu Tuliendelea kupiga stor mbili tatu pale mpaka taarifa ilipoisha kisha Joan akatukalibisha mezani kula chakula Tulipokuwa mezani mimi na shemeji tulikaa sambamba kalibu huku Joan akikaa upande wa pili tukawa tunaangaliana. 
Tukaanza kula taratibu na kwa bahati mbaya nafikili Joan akarefusha miguu yake na kunigusa Nilifurahia hicho kitendo na mimi nikarudishia tena,nikawa namsugua taratibu na vidole vya mguu wangu nikipanda mpaka mapajan Joan aliona aibu pale ila akajitahid kutoonesha mabadiliko yeyote yale mpaka mtu aliyejua kinachoendelea kama mimi ndiye angeshtukia kuwayule anaona aibu Shemeji yeye alikuwa amekolea kwenye stor ya Pinda na hakujua kinachoendelea
Baada ya kumaliza kula chakula Joan alisimama ili kuondoa vyombo na kwa bahati mbaya kaka ikataka kumvuka na kwa macho yangu ya kimbea nikawa nimeliona paja lake jeupe sana tofaut na la shemeji la maji ya kunde " Aisee huyu mtoto ana paja zuri balaa! Hivi kuna siku nitalichezea?" niliwaza mwenyewe Tuliondoka pale mezani na shemeji akaniongoza twende chumbani ingawa sikuridhika lakini sikuwa na namna ya kukwepa.
 Tulipofika chumbani na shemeji akaanza mbwembwe zake pale ili tuingie kwenye mtanange " Leo naomba twende bafuni tukapeane kitotatota baby" akasema " Poa" nikajibu kifupi " Lakin mbona hauko sawa baby?" akauliza " Niko sawa mpenzi usijal" nikajichangamsha pale Shemeji alinivua nguo moja baada ya nyingine na kisha akanibeba mgongoni na tukaelekea bafuni Kule bafuni alitoa nguo yake ya ndani safi na kuanza kunisafisha mwili wangu taratibu.
 Ingawa sikuwa na ham na shemeji bali mdogo wake ila nilipokumbuka mapenzi yake yalivyo matam nilijikuta nikisisimka sana Alinisugua sehemu mbalimbali za mwili wangu mpaka nikatakata na mimi ikaingia zamu yangu nikauogesha taratibu huku tukichezena mpaka akatakata Shemeji akanichukua na kunilaza kwenye sinki la kuogea kisha akainama kwa mhogo wa jang'ombe na kuanza kuumung'unya taratibu mdomon Maruhani yangu yakanipanda kutokana na utam niliokuwa nikiusikia mpaka nikabaki kupiga kelele za utam " Baby kuna kitu kizuur nataka nikwambie uko tayali?" akauliza " Nipo tayali nambie" nikajibu " Baby tayali nina ujauzito wako" akasema Nikapigwa na butwa!!!!!!

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.