PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA AROBAINI NA TANO (45)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Nilimwangalia sana yule mdogo wake na shemeji na kupanga yangu kichwani Baada ya hapo shemeji aliamua kupasua jipu " Baby huyu ni mdogo wangu,nafikiri unamfaham vizur kwa sababu ulimuona kwenye msiba wa mama,anaitwa Joan,atakuwa hapa kutusaidia kutupa kampani kwa siku chache" akasema " Nashukuru kukubali kuja kutusaidia shemeji" nikamwambia nikimpa mkono " Usijal shemeji" akajibu 
Alipokuwa amenishika mkono nilisikia kama nimepigwa na shoti ya umeme,nilisisimkwa na mwili kuanzia unyayoni " Joan,huyu ni shemeji yangu ila kwa sasa ndo mme wangu kwa sababu huko msibani walisema lazima anirithi,hivyo naomba mheshimu kwa heshima zote,huyu sasa ni mme wangu,na wewe Jun huyu mheshimu! Nafikiri unanijua ukifanya upuuzi usinilaum" alisema shemeji huku akimaliza kwa kutishia " 
Usijal dada" akasema Joan " Kuwa na aman Joan jisikie uko huru" nikamjibu Joan badala ya shemeji Shemeji aliniangalia jicho baya na mimi nikawa nimeshajiongeza kwa akili yangu na kujifanya hakuna kinachoendelea. Baada ya pale sisi tulielekea kazini na kuendelea na mihangaiko yetu kama kawaida Nikiwa kazini akili yangu yote ilikuwa inamuwaza yule mdogo wake na Shemeji peke yake " 
Mmmmmh! Kile kiuno nikiacha labda niwe mjinga,af kwa sasa mim sio kuku wa kienyeji tena na pia kama shemeji ni mtam vile basi na mdogo wake lazima awe mtam,ngoja nimuonje nijue" nikawaza mwenyewe Tuliendelea na kazi huku fikra zangu zikimuwazia Joan peke yake,kuna kipindi nilikuwa nahstuliwa na shemeji kutokana naakili yangu kuw imeganda " Hivi wewe una mawazo gan leo? Mbona kila wakati unakuwa kama akili yako iko mbali sana?" akauliza " 
Niko sawa baby usijal" nilimjibu Shemeji Tukaendelea na kazi hivyo hivyo ila akili yangu haikuacha kukimbuka kiuno cha Joan " Hivi yule nikimkamata nikampa ile Kalichumbage aliyonifundisha shemeji,yale maujuzi yote yule dogo nimpe af asidate? Subir" niliendelea kuwaza na kuwazua Jioni kama kawaida tuliporudi nyumbani tulimkuta Joan akieandaa chakula cha jioni Tulimkuta Joan akiwa kavaa kanga peke yake na nguo ya ndani kama mabinti wengi wanavyovaa siku hizi wakiwa nyumbani na wengine hata mitaani 
Ile kanga nahisi iliendelea kuniweka katika wakati mgumu sana Kwa sababu kila alipopita mbele yangu ule mtikisikobwa pwani ulipokuwa ukitokea kwenye kale kakiuno mbinuko nilihisi kuchanganyikiwa 
Nilifikia hatua baada ya kumaliza kuoga chumbani nielekee sebuleni kujifany kama naangalia tv na nikakaa kwenye sofa ambalo lina mwelekeo wa kuweza kuona maeneo yanayoelekea jikoni Kwa sababu hiyo kila alipokuwa akitoka na kuingia jikoni nilibahatika kuuona ule mtkisiko wa pwani " Wewe! Vipe leo kuangalia tv?" nilishtuliwa na shemeji aliyekuwa amekuja kuniangalia " Aaah! 
Unajua kuna wakati nimeingia Facebook nikaona post za watu zinaongelea swala la sijui mawaziri wamejiuzuru ndo nataka nizione" nikamjibu " Wamejiuzuru kwa sababu gan tena?" akauliza "Nasikia wameanzisha opereshen ya kuondoa watu wanaoishi kalibu na hifadhi lakin opereshen imeendeshwa vibaya askari wameua na kubaka huko" nikamjibu " Mama yagu nchi yetu inafikia huko?" akauliza mpaka na mimi nikamshangaa kwa sababu kwenye swala la kuua kwake ilikuwa kawaida tu " 
Ndi hivyo" nikamjib "Mmmh! Wajiuzuru kabisa,acha na mimi niiangalie" akasema na kuja kukaa pembeni yangu uzuri ile tv ilikuwa imekaa usawa wa kalibu na mlango wa jiko hivyo ilkuwa rahisi kumuangalia yule mdada Baada ya muda akapita pale na kuja kutongelesha. Wakati anaongea niikamkonyeza!!!!

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.