PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA AROBAINI NA NNE (44)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Nilishtushwa sana na maneno yale ya shemeji kuwa na mimi napaswa kufa " Sababu ya mimi kufa ni ipi shemeji?" nikamuuliza " Kwa sababu badala ya kutafuta jinsi ya sisi kushinda hili tatizo unakuwa upande wa mama yako" akajibu " Kwa hiyo unafikiri ukimuua mama ndiyo utapata suluhishi?" nikamuuliza " Haijalishi kuwa nitapata suluhisho au sitapa nachohitaj ni kuziba mdomo wake kwa sababu unaweza kuniponza baadae" akajibu " Please! Baby tusiende mbali na haya mambo,naomba mama asiuawe ila mimina wewe tukabiliane na hili swala" nikasema 
" Haina tatizo ila nipe muda nifikirie na ongea na mamayako akae mbali na haya mambo" akanionya " Sawa nieekwelewa" nikamjibu Tuliondoka na kuendelea na mambo ya msiba na mimi nikamtafuta mama na kuongea naye pembeni " Mama unajua nakupenda sana" nikaanza kumwambia " Najua mwanangu kwani tatizo nini?" akauliza " Sihitaji ufe" nikamwambia " Najua hilo" akasema " Kwa sababu hiyo naomba ukae mbali na hili swala kwa sababu ukiliongelea tu unajikalibishia mauti" nikasema " Sawa mwaanangu nimekwelewa" akajibu 
" Tutaendelea kukusaidia kama alivyofanya kaka,cha msingi wewe funga mdomo" nikasema " Sawa baba" akajibu Baada ya kuongea na mama tuliendelea na taratibu zingine za msiba Mida ya mchana wale askari walikuja na kibali ambacho kiliwaruhusu kunifanyia mahojiano pale pale msibani na kwa sababu shemeji alishafanya ya kwake sikuhusisha kabisa na lile tukio la mauaji. Baada ya siku tatu kikao cha ukoo kilikaa ili kuamua hatima ya mali za marehemu Shemeji alikuja na vielelezo vinavyoonesha kuwa alikabidhiwa umiliki wa mali za marehemu kaka ikitokea yeye hayupo.

" Mama tunajua kuwa una nyar?...nyaraka zote tatizo wewe sio mchaga na kwa tamaduni zetu haturusu mwanamke asiye mchaga kumiliki mali" akasema " Hizo ni tamaduni zenu ila kwa sheria ya serikali nina haki ya kumiliki hizi mali" akajibu shemeji " Sawa ila na tamaduni lazima zifatwe" akajibu yule mzee ambaye alikuwa anaongoza kikao " Unajua siwaelew? Hebu semeni mnataka nini?" akasema shemeji " Kwa mujib wa tamaduni zetu tena ikizingatiwa hujazaa itabid urithiwe na mdogo wa marehemu ili kuendeleza ukoo wa marehemu" akasema yule mzee "
 Ni rithiwe? Yaani mimi niwe nalala na huyu shemeji?" akauliza " Hatujasema hivyo,ila unaweza kuwa naye kidogo wakati akisaidia usimamizi wa mali" akatumia siasa yule mzee " Kwa hiyo sio kuishi kamamke na mme?" akauliza " Aaah! Hapo mtaelewana wenyewe ila we kubali akusaidie kama mmeo" akasema yule mzee " Kama ni hivyo haina shida" akajibu shemeji Mpaka pale nilijua shemeji anaigiza ukali ili kumaliza lile swala la kuhisiwa kuwa tunahusika na mauaji ya kaka. 
Baada ya hayo kukamilika ,tulimaliza swala la msiba kwa amani na kurudi Dar es salaam salama salimini Hatukurud na mama kwa sababu ndiye mfiwa hivyo alihitajika aendelee kukaa pale kwa ajili ya pole na kuuangalia mji wake. Baada ya kufika Dar mapenzi yangu na shemeji yalirudi kama mwanzo na tukaendelea kusahau lile swala la kifo cha kaka. " baby naona hapa tunakuwa wapweke sana,unaonaje tukimfata mdogo wangu Joan ili aje apa kutupa kampani na hasa ikizingatiwa kuwa kamaliza mtihani wake wa kidato cha nne na amekaa tu" akasema shemeji " 
Haina shida baby wangu ni wewe tu" nikajibu " Basi haina tatizo ngoja nifanye utaratibu" akasema Baada ya siku tatu pale nyumbani tulipata ugeni wa mdogo wake na shemeji Siku ya kwanza namuona yule binti mwili wangu wote ulisisimka Nikajikuta namtaman sana,kwanza nikawa kila akipita mbele yangu najikuta katika wakati mgumu sana Yule binti alikuwa maji ya kunde moja inavuta sana, vichuchu vidogo sana ambavyo kwa mbele vimejaa kiasi cha kumfanya mwanamme yeyote rijali amtaman Tumbo lake lilikuwa doogo tofaut na madem wa siku hizi na kiuno kilikatika vizur kutengeneza umbo liwe la kuvutia Sehemu inayonipa shida ndo usiseme,alikuwa kiuno mbinuko! Vikalio vimejaa kidogo na kutengeneza kakiuoni kabinuke vile mavyopenda! Nilichachawa! " Lazima nimgonge huyu demu" niliwaza

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.