NAIBU WAZIRI WA AFYA, DK KIGWANGALLA AZINDUA RASMI MAJENGO YA T-MARK TANZANIA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akikata utepe wakati wa kuzindua jengo la ofisi la kampuni ya T-Mark Tanzania, Kulia ni  Mkurugenzi mtendaji wa T-Mark Tanzania,Diana Kisaka na kushoto ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya T Mark, Charles Singili.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akifungua rasmi jengo la ofisi ya T- Mark Tanzania.
 Mkurugenzi mtendaji wa T-Mark Tanzania,Diana Kisaka(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Ofisi pamoja ja jengo la kuhifadhia mali za kampuni ya T-Mark Tanzania, Kulia ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya T Mark, Charles Singili(kulia)
 Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya T Mark, Charles Singili(katikati)  akizungumza na waandishi wa habari wakatinwa hafla ya uzinduzi wa jengo la ofisi pamoja na ghala la kuhifadhia mali za kampuni.
 Meneja Mradi wa asasi ya T-Mark Tanzania, Doris Chalambo akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa majrngo ya kapuni ya T-Mark Tanzania
Kikundi cha burudani kikiendelea kutoa burudani wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo ya kampuni ya T-Mark Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa T-Mark Tanzania, Diana Kisaka(katikati) akitoa ufafanuzi kuhusu shughuli wanazozifanya katika kampuni ya T-Mark Tanzania mara baada ya kuwasili kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya T Mark, Charles Singili.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa T-Mark Tanzania alipotembelea mabanda ya kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa majengo ya kampuni hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi wa majengo ya kampuni ya T-Mark Tanzania
Wafanyakazi wa Kampuni ya T-Mark Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi
Wafanyakaiz wa T-MArk Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa majengo mawili kumalizika
Post a Comment
Powered by Blogger.