MWILI WA MTU WA PILI ALIYEZAMA NA GARI WAPATIKANA BAADA YA HIACE KUZAMA BAHARINI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Waokoaji wakitoa mwili katika maji baada ya juzama na gari leo alfajiri.
Mchana  huu  umepatikana mwili wa pili  wa Nice Karagwe  huku zoezi la kuitoa gari likiendelea 

Mwili ukipelekwa kwenye gari la polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi

Gari lapolisi likiondoka na mwili wa mtu aliyefariki baada ya kuzama na gari aina ya Hiace leo alfajiri
Post a Comment
Powered by Blogger.