MWILI WA MAREHEMU WASHINGTON BENBELLA WAAGWA LEO HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kanisani wakati wa kumwombea marehemu Washington Benbella pamoja kuugwa katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Mustafa Hassanali akimzungumzia marehemu Washington Benbella alivyomjua pamoja na kufanya kazi naye kwenye kwenye kampuni ya Swahili Fashion

Mama mzazi wa Marehemu Washington Benbella akialia kwa uchungu wakati wa kuaga mwili wa mwaye
Mustafa Hassanali akiaga mwili wa marehemu Washington Benbella wakati wa misa iliyofanyika katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili
Yusuph rafiki mkubwa wa marehemu Washington Benbella akiaga kwa uzini mkubwa

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu Washington Benbella leo katika Hospitali ya Muhimbili
Mwili wa Marehemu Washington Benbella ukitolewa kanisani baada ya kufanyiwa maombi pamoja na kugwa kwa mili huo katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Mwili wa Marehemu Washington Benbella ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho tarehe 14 mwezi wa Nne.
Baadhi ya waombolezaji washuhudia tukio la mwili wa Marehemu Washington Benbella ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea wilaya ya Same kwa ajili ya mazishi.
Post a Comment
Powered by Blogger.