WATU 30 WAUAWA KWENYE SHAMBULIO LA KIGAIDI UBELGIJI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Polisi nchini Ubelgiji wanamsamka mshukiwa wa kundi la Islamic State aliyeonekana akiwa na wengine wawili waliodaiwa kujilipua kwenye uwanja wa ndege wa Brussels kwenye tukio la kwanza kati ya mashambulio mawili yaliyosababisha vifo vya takriban watu 30 na kujeruhi wengine 200. Wote wawili wamekufa kwenye shambulio hilo baada ya kujilipua.
Tukio hilo limeitikisa dunia nzima kiasi cha mamlaka kuanza kuangalia upya usalama kwenye viwanja vya ndege. Usalama umeimarishwa kwenye viwanja vingi vya ndege.
Shambulio lingine limetoka kwenye stesheni ya treni za mjini.
Maelezo kutoka kundi la ISIS yamedai kuwa mashambulio mengine yatafanyika kwenye nchi za Ulaya kwenye viwanja vya michezo, maeneo ya watalii, migahawa na sehemu za usafiri
Post a Comment
Powered by Blogger.