UPDATES: WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wabunge hao katika picha kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala (CCM), Mh.Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero (CCM) Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa.

Wabunge 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge wapandishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kumuomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo rushwa ya Shilingi Milioni 30. Wabunge hao sasa wanakamilisha taratibu za dhamana kwa kila mmoja kulipa shilingi Million 5 na watakua nje hadi April 15 kesi yao itakapo sikilizwa tena.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
Post a Comment
Powered by Blogger.